
Katika kuadhimisha siku ya kiharusi duniani Oktoba 29, 2024 Hospitali ya Taifa Muhimbili – Mloganzila itatoa huduma zifuatazo bila malipo: 1.Kupima shinikizo la damu 2.Elimu ya lishe 3.Elimu ya ugonjwa wa kiharusi. Muda: 3:00 Asubuhi hadi 8:00 Mchana. WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA.