SIKU YA KIHARUSI DUNIANI
Katika kuadhimisha siku ya kiharusi duniani Oktoba 29, 2024 Hospitali ya Taifa Muhimbili – Mloganzila itatoa huduma zifuatazo bila malipo: 1.Kupima shinikizo la damu 2.Elimu ya lishe 3.Elimu ya ugonjwa […]
Your blog category

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kufanya mazungumzo na wagonjwa na ndugu wa wagonjwa kwa lengo la kupata maoni yao ili kuendelea kuboresha utoaji
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila itaendelea kuwajengea uwezo wataalam kwani lengo ni kuifanya Muhimbili Mloganzila kuwa kituo kikubwa katika huduma za upasuaji rekebishi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.